Home > Terms > Swahili (SW) > mgombea wa chama cha tatu

mgombea wa chama cha tatu

Mgombea ambaye si mwanachama wa vyama viwili vikuu vya kisiasa vya Marekani, Republicans ama Democrats.

Hakuna mgombea wa chama cha tatu amewahi kushinda uchaguzi ingawa wameweza kushawishi vikubwa matokeo. Kwa mfano, mnamo mwaka 1992, Ross Perot aliweza kuchukua kura za George HW Bush na kumsaidia Bill Clinton kushinda tena.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

Ann Njagi
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 12

    Followers

Industry/Domain: Internet Category: Social media

Mjomba Cat

cat cuddly kwa jina la Hatch-chan kwamba akawa kimataifa maarufu na blog yake mwenyewe na smiles kipekee. kupotea akageuka Mashuhuri paka alikuwa na ...