Home > Terms > Swahili (SW) > ndoa

ndoa

Ahadi au ushirikiano wa maisha kati ya mwanamke na mwanaume, ambayo ni amri ya ustawi wa mume na mke na kwa uzazi na malezi ya watoto. Wakati mkataba kati ya watu wawili waliobatizwa huwekwa kuhalali, ndoa ni sakramenti (Ndoa) (1601).

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Religion
  • Category: Catholic church
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Easter

Pasaka

Tamasha la wakristo ya kila mwaka katika maadhimisho ya ufufuo wa Yesu Kristo, husherehekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi kamili ya kwanza baada ...