Home > Terms > Swahili (SW) > wajumbe

wajumbe

Wanachama ambao kura zao kwenye mkutano wa kitaifa wa wajumbe huamua rasmi wagombea wa urais wa vyama hivyo viwili.

Wajumbe wengi kwenye mkutano huo wa wanachama hushurutishwa kumpigia kura mgombea kwa mujibu wa matokeo ya mchujo ama vigogo kwenye majimbo yao ya nyumbani. Wanarejelewa kama wajumbe "walioahidiwa" ama "waliochaguliwa".

Baadhi ya wajumbe huwa "wasioahidiwa" na wana uwezo wa kumpigia kura mgombea yeyote kwenye mkutano huo. Kwenye Chama cha Democratic, wajumbe hao huitwa "wajumbe mashuhuri".

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Kitchen & dining Category: Drinkware

kikombe cha chai

kikombe cha chai ni kikombe kidogo, na au bila kono, kwa ujumla moja ndogo ambacho kinaweza kushikwa na kidole gumba na kidole kimoja au vidole ...

Contributor

Featured blossaries

Mergers and Aquisitions by Google

Category: Business   4 20 Terms

Knives

Category: Objects   1 20 Terms